Category: Analysis

Home » Analysis
𝐑𝐚𝐢𝐥𝐚 𝐎𝐝𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐚𝐰𝐚𝐡𝐢𝐦𝐢𝐳𝐚 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐤𝐮𝐳𝐢𝐧𝐠𝐚𝐭𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐲𝐚 𝟒𝐑.
Post

𝐑𝐚𝐢𝐥𝐚 𝐎𝐝𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐚𝐰𝐚𝐡𝐢𝐦𝐢𝐳𝐚 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐤𝐮𝐳𝐢𝐧𝐠𝐚𝐭𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐲𝐚 𝟒𝐑.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ameasa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wazingatie msingi mmoja wapo wa falsa ya 4R ambayo ni maridhiano. Odinga amesema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X baada ya kutembelewa na viongozi wa juu wa Chadema akiwemo Mwenyekiti Tundu Lissu. “Tulibadilishana mawazo kuhusu...

KATIKA MAZINGIRA HAYA TUNDU LISSU ANA HAKI YA KUCHANGANYIKIWA.
Post

KATIKA MAZINGIRA HAYA TUNDU LISSU ANA HAKI YA KUCHANGANYIKIWA.

Fikiria umeshinda nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha siasa chenye umri wa miaka 33. Mwanzilishi wa chama (Edwin Mtei) alikaa madarakani kama Mwenyekiti kwa miaka 6. Akaondoka, akamkabidhiti shemeji yake. Ndio! Mwenyekiti wa pili wa CHADEMA (Bob Nyanga Makani alioa dadake Edwin Mtei). Makani akakalia kiti miaka 6. Kisha akamuachia Freeman Mbowe ambaye kakalia takribani...

Fact-Checking Erick Ombok and Fumbuka Ng’Wanakilala: The World’s Weakest Currencies in 2025.
Post

Fact-Checking Erick Ombok and Fumbuka Ng’Wanakilala: The World’s Weakest Currencies in 2025.

In global finance, strong currencies often dominate headlines, while weaker ones remain overlooked, trapped in cycles of devaluation and economic uncertainty. Understanding weak currencies is vital for travellers, investors, and businesses, as it helps in making informed foreign exchange decisions. Currency devaluation can result from multiple factors, including inflation, trade imbalances, political instability, and central...

Optimizing Tanzania’s Internet Space, Closing the Gap for a Thriving Financing Inclusion and Digital Economy.
Post

Optimizing Tanzania’s Internet Space, Closing the Gap for a Thriving Financing Inclusion and Digital Economy.

As the world thrives in the digital age, Tanzania stands at a pivotal crossroads. The internet has revolutionized economies globally, and the nation has taken crucial steps towards a digital future. Electronic financial services like mobile money have surged in popularity, driving financial inclusion to a remarkable 76%, as revealed by the recent financial service...

Milking Nyamongo Claimants: A Law Firm & UK NGO Raid Under Fire.
Post

Milking Nyamongo Claimants: A Law Firm & UK NGO Raid Under Fire.

A syndicate of law firms, local opposition politicians and RAID (a UK-based NGO) are accused of syphoning millions of Pounds from hundreds of Tanzania citizens who they represented in settlement cases against mining companies from January 2015. Settlement documents seen by Taifa Daily reveal several injustices where in one case, a local Tanzania claimant received...

MANGE KIMAMBI AMEPOTEA NJIA
Post

MANGE KIMAMBI AMEPOTEA NJIA

Na Isaya Madego, safarini Marekani. Jana na usiku wa kuamkia leo Mange Kimambi amechapisha maandiko mawili ya kumtukana Rais Samia Suluhu. Wako waliomsifia kwenye sehemu ya maoni ya maandiko hayo wengi wakitumia majina ya kificho lakini wako wengi waliomkemea kwa kukosa staha. Wengine wamekwenda mbali zaidi na kusema huenda Mange amenunuliwa na wabaya wa Rais...

TAKUKURU exposes corruption in government projects.
Post

TAKUKURU exposes corruption in government projects.

TAKUKURU, in executing its anti-corruption mandate, monitored public resources in 1800 development projects worth 7.7 trillion to detect indicators of corruption and misappropriation of public resources and ensure adherence to the bill of quantity estimates. Projects monitored included the construction of the Dodoma ring road, development projects implemented through the force account method in Arusha...

Moody’s Report: Tanzania’s sovereign rating surges to B1, signaling stability and growth.
Post

Moody’s Report: Tanzania’s sovereign rating surges to B1, signaling stability and growth.

Tanzania’s remarkable economic trajectory has propelled it to the forefront of East Africa’s financial landscape. With Moody’s recent sovereign credit rating upgrade to B1, Tanzania surpasses regional counterparts. This leap places Tanzania ahead of Kenya, Uganda, and Rwanda, signalling a significant milestone in its economic journey. Moody’s decision to elevate Tanzania’s credit rating underscores the...