Category: Politics

Home » Politics
Serikali yawekeza kwenye utafiti wa matumizi ya sarafu za kidigiti.
Post

Serikali yawekeza kwenye utafiti wa matumizi ya sarafu za kidigiti.

Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendeleza hatua ya utafiti wa uanzishwaji wa matumizi ya Sarafu za Kidijitali za Benki Kuu. Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Mh. Faustine Ndungulile, aliyeuliza Serikali ina mpango gani wa kuanza kwa matumizi ya Sarafu za Kidijitali hapa nchini, Naibu Waziri...

Serikali ya Rais Samia Suluhu yazidi kuchochea undelezwaji wa vipaji nchini.
Post

Serikali ya Rais Samia Suluhu yazidi kuchochea undelezwaji wa vipaji nchini.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imedhamiria kuchochea ongezeko kubwa la vipaji vya michezo nchini, hususan vya mpira wa miguu. Lengo la Serikali ni kutengeneza vipaji vingi vyenye ubora mkubwa wa kutumika hapa nchini na kwengineko duniani hasa nchi zilizoendelea kisoka barani Afrika na Ulaya. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Hamis...

Government to reduce taxes on natural gas-powered gas vehicles.
Post

Government to reduce taxes on natural gas-powered gas vehicles.

The government, through the Ministry of Energy, has announced a reduction in taxes for vehicles entering the country that run on natural gas. Deputy Minister of Energy, Hon. Judith S. Kapinga, stated that the government has already initiated various programs for the use of compressed natural gas (CNG) in vehicles. So far, in collaboration with...

Ambassador Togolani denies Tanzania signing South Korean loan and giving away part of the sea.
Post

Ambassador Togolani denies Tanzania signing South Korean loan and giving away part of the sea.

The Tanzanian Ambassador to South Korea, Togolani Mavura, said Tanzania has not signed any agreement with the Republic of Korea involving the Tanzanian Sea or Minerals during President Samia Suluhu’s visit to Korea. Ambassador Mavura said during the visit that started on May 31, 2024, the President witnessed the signing of only one agreement, which...

Rais wa aina hii hutokea mara chache sana katika miaka mingi – Sehemu ya Kwanza.
Post

Rais wa aina hii hutokea mara chache sana katika miaka mingi – Sehemu ya Kwanza.

RAIS WA AINA HII HUTOKEA MARA CHACHE SANA KATIKA MIAKA MINGI – SEHEMU YA KWANZA Na Ngabero Nyangwine, Mara Tanzania 1.⁠ ⁠Rais anayeingia madarakani na kuwa kama amewafungua kutoka utumwani na vitisho vya utawala na kujali misingi ya demokrasia. Ingekuwa mimi mbona mngeisoma namba na mbishi ndugu zake wangemuota kwenye kiroba Coco Beach au angepotea...

Shekilango: A hero lost in service to Tanzania.
Post

Shekilango: A hero lost in service to Tanzania.

It has been 44 years since Hussein Shekilango’s death. The famous Shekilango road in Sinza, Dar es Salaam, was named in his honour. It was on Sunday, May 11, 1980, when Tanzania lost its minister, Shekilango, in a plane crash in Arusha. Shekilango was the Managing Director of the National Milling Corporation (NMC) before being...

Tanzania pledges solidarity with AU for peace and security initiatives.
Post

Tanzania pledges solidarity with AU for peace and security initiatives.

Tanzania has taken the helm as chair of the Africa Union’s Peace and Security Council (AU-PSC), committing to collaborate with African nations to promote security and peace. In a statement released by the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation, Tanzania pledges to fulfill its leadership role during its one-month tenure, which began on...

CHADEMA KUMOTO: Vita ya Urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA.
Post

CHADEMA KUMOTO: Vita ya Urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA.

Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 ⁠Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara Mei 3, 2024 Na Mwandishi Wetu Iringa Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe imeibuka ndani ya CHADEMA na kukipasua chama...