Category: Tanzania

Home » Tanzania
CHADEMA KUMOTO: Vita ya Urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA.
Post

CHADEMA KUMOTO: Vita ya Urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA.

Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 ⁠Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara Mei 3, 2024 Na Mwandishi Wetu Iringa Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe imeibuka ndani ya CHADEMA na kukipasua chama...

Nini Kinaendelea CHADEMA?
Post

Nini Kinaendelea CHADEMA?

Dhana iliyozungumziwa kwa muda mrefu kwamba FREEMAN MBOWE Kalambishwa asali sasa ni dhahiri baada ya Mr. Mbowe kuanza kusambaza kiasi kikubwa cha fedha kwenye chaguzi tofauti tofauti nchi nzima ndani ya chama chake cha Chadema, kwa malengo ya kupanga safu yake ya 2025. Kilichotokea kwenye uchaguzi wa kanda ya Nyasa imeshtua wengi hasa wajumbe waliopiga...

Falsafa ya 4R yampatia Rais Samia shahada nyingine ya udaktari.
Post

Falsafa ya 4R yampatia Rais Samia shahada nyingine ya udaktari.

Baada ya India, chuo kingine kikuu kikubwa cha Uturuki chamtunuku Rais Samia shahada ya udaktari. Aprili 18, 2024 Mwandishi Wetu Zanzibar Huku wakiwa wameshika bango lenye kauli mbiu maarufu ya “Songa na Samia,” vijana wanaopiga mbizi kwa sarakasi kwenye eneo la Forodhani la Zanzibar, wametoa video yao mpya kuchambua falsafa ya 4R ya Rais Samia...

TAKUKURU exposes corruption in government projects.
Post

TAKUKURU exposes corruption in government projects.

TAKUKURU, in executing its anti-corruption mandate, monitored public resources in 1800 development projects worth 7.7 trillion to detect indicators of corruption and misappropriation of public resources and ensure adherence to the bill of quantity estimates. Projects monitored included the construction of the Dodoma ring road, development projects implemented through the force account method in Arusha...

Tanzania and Rwanda to open new border point.
Post

Tanzania and Rwanda to open new border point.

Tanzania and Rwanda are moving to open a new border post as th two countries deepen trade ties at a time when trade and political forces pull region partners in different directions. The new post will be opened in Kyerwa district in the Kagera Region to provide a second passage for people and goods and...

Is East Africa ready for federation? Unveiling public sentiment and readiness.
Post

Is East Africa ready for federation? Unveiling public sentiment and readiness.

On March 14, 2024, the official website of the State House of the United Republic of Tanzania, through its online platform X, released images depicting President Samia Suluhu Hassan in talks with President William Ruto of Kenya and President Yoweri Museveni of Uganda at the Tunguu State House in Zanzibar. The accompanying captions indicated that...

Shinyanga: Mama auwa Mtoto Wake na Kumla Nyama.
Post

Shinyanga: Mama auwa Mtoto Wake na Kumla Nyama.

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Nyasorod Paul, anadaiwa kumuua mtoto wake Nazaeri Kidia, mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba na kisha kumla nyama. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, SACP Janeth Magomi, amesema mwanamke huyo mkulima mkazi wa Shinyanga, aliondoka nyumbani Januari 4, 2024 Akiwa na mtoto...

Mgomo wa Madareva wa Dalala Mwanza Wapamba Moto. Nini Tatizo?
Post

Mgomo wa Madareva wa Dalala Mwanza Wapamba Moto. Nini Tatizo?

Madereva wa usafiri wa umma, maarufu ‘Daladala’ mkoani Mwanza wamegoma, huku taarifa za awali zikieleza sababu ni kushinikiza kuondolewa kwa muingiliano wao (daladala) na pikipiki za miguu mitatu, maarufu ‘bajaji’ katika vituo vya kupakia abiria. Mgomo huo kwa kiasi kikubwa umewaathiri zaidi wanafunzi, ambapo uchunguzi wa haraka umeonesha ni kutokana na wengi kutomudu gharama za...

Honoring History: President Samia Suluhu’s crucial attendance at Hage Geingob’s funeral.
Post

Honoring History: President Samia Suluhu’s crucial attendance at Hage Geingob’s funeral.

A small debate has erupted on social media following the appearance of President Samia Suluhu at the funeral of former Namibian President Hage Geingob, who passed away on February 4th this year. The debate stems from recent observations that President Samia has undertaken several foreign trips. Within just two weeks, she travelled to the Vatican...