The rising cost of living is a global issue that can threaten the security of any nation, potentially leading to unrest and loss of peace. Many countries, such as Nigeria, South Africa, Venezuela, and Zimbabwe, have experienced long-term protests and strikes due to escalating living costs. In contrast, Tanzania, from its independence to the current...
Mkataka wa Rais Samia Suluhu kuimarisha utalii nchi wajibu.
Licha ya vivutio vingi duniani kukumbwa na uhaba wa wageni, Tanzania imeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la watalii kwenye vivutio vyake mbalimbali nchini. Haya yote yamewezekana kutokana na ubunifu mahiri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ametenga muda wake binafsi kwa ajili ya kuvitangaza vivutio vya utalii vya...
Billion 55 Paid in Debts to Civil Servants.
Deputy Minister of State, Office of the President for Public Service and Good Governance, Hon. Ridhiwani Kikwete, responded on behalf of the government to a question posed by Hon. Issa Jumanne Mtemvu, Member of Parliament for Kibamba. The question sought information on the current amount of government debts related to leave, transfers, and post-retirement cargo...
Government to reduce taxes on natural gas-powered gas vehicles.
The government, through the Ministry of Energy, has announced a reduction in taxes for vehicles entering the country that run on natural gas. Deputy Minister of Energy, Hon. Judith S. Kapinga, stated that the government has already initiated various programs for the use of compressed natural gas (CNG) in vehicles. So far, in collaboration with...
Ambassador Togolani denies Tanzania signing South Korean loan and giving away part of the sea.
The Tanzanian Ambassador to South Korea, Togolani Mavura, said Tanzania has not signed any agreement with the Republic of Korea involving the Tanzanian Sea or Minerals during President Samia Suluhu’s visit to Korea. Ambassador Mavura said during the visit that started on May 31, 2024, the President witnessed the signing of only one agreement, which...
Rais wa aina hii hutokea mara chache sana katika miaka mingi – Sehemu ya Kwanza.
RAIS WA AINA HII HUTOKEA MARA CHACHE SANA KATIKA MIAKA MINGI – SEHEMU YA KWANZA Na Ngabero Nyangwine, Mara Tanzania 1. Rais anayeingia madarakani na kuwa kama amewafungua kutoka utumwani na vitisho vya utawala na kujali misingi ya demokrasia. Ingekuwa mimi mbona mngeisoma namba na mbishi ndugu zake wangemuota kwenye kiroba Coco Beach au angepotea...
Shekilango: A hero lost in service to Tanzania.
It has been 44 years since Hussein Shekilango’s death. The famous Shekilango road in Sinza, Dar es Salaam, was named in his honour. It was on Sunday, May 11, 1980, when Tanzania lost its minister, Shekilango, in a plane crash in Arusha. Shekilango was the Managing Director of the National Milling Corporation (NMC) before being...
Serikali yaleta mikopo nafuu ya riba ya asilimia 7 kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Serikali imetenga Tsh bilioni 18.5/- za mikopo. nafuu ya kuwezesha wajasiriamali nchini kupitia Benki ya NMB, ambayo itatolewa kwa riba ya 7%. Mkataba wa utoaji wa mikopo hiyo, umetiwa saini tarehe 6 May 2024 Jijijni Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ruth Zaipuna na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,...
CHADEMA KUMOTO: Vita ya Urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA.
Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara Mei 3, 2024 Na Mwandishi Wetu Iringa Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe imeibuka ndani ya CHADEMA na kukipasua chama...
Nini Kinaendelea CHADEMA?
Dhana iliyozungumziwa kwa muda mrefu kwamba FREEMAN MBOWE Kalambishwa asali sasa ni dhahiri baada ya Mr. Mbowe kuanza kusambaza kiasi kikubwa cha fedha kwenye chaguzi tofauti tofauti nchi nzima ndani ya chama chake cha Chadema, kwa malengo ya kupanga safu yake ya 2025. Kilichotokea kwenye uchaguzi wa kanda ya Nyasa imeshtua wengi hasa wajumbe waliopiga...