Serikali imetenga Tsh bilioni 18.5/- za mikopo. nafuu ya kuwezesha wajasiriamali nchini kupitia Benki ya NMB, ambayo itatolewa kwa riba ya 7%. Mkataba wa utoaji wa mikopo hiyo, umetiwa saini tarehe 6 May 2024 Jijijni Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ruth Zaipuna na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,...
CHADEMA KUMOTO: Vita ya Urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA.
Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara Mei 3, 2024 Na Mwandishi Wetu Iringa Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe imeibuka ndani ya CHADEMA na kukipasua chama...
Nini Kinaendelea CHADEMA?
Dhana iliyozungumziwa kwa muda mrefu kwamba FREEMAN MBOWE Kalambishwa asali sasa ni dhahiri baada ya Mr. Mbowe kuanza kusambaza kiasi kikubwa cha fedha kwenye chaguzi tofauti tofauti nchi nzima ndani ya chama chake cha Chadema, kwa malengo ya kupanga safu yake ya 2025. Kilichotokea kwenye uchaguzi wa kanda ya Nyasa imeshtua wengi hasa wajumbe waliopiga...
Milking Nyamongo Claimants: A Law Firm & UK NGO Raid Under Fire.
A syndicate of law firms, local opposition politicians and RAID (a UK-based NGO) are accused of syphoning millions of Pounds from hundreds of Tanzania citizens who they represented in settlement cases against mining companies from January 2015. Settlement documents seen by Taifa Daily reveal several injustices where in one case, a local Tanzania claimant received...
Falsafa ya 4R yampatia Rais Samia shahada nyingine ya udaktari.
Baada ya India, chuo kingine kikuu kikubwa cha Uturuki chamtunuku Rais Samia shahada ya udaktari. Aprili 18, 2024 Mwandishi Wetu Zanzibar Huku wakiwa wameshika bango lenye kauli mbiu maarufu ya “Songa na Samia,” vijana wanaopiga mbizi kwa sarakasi kwenye eneo la Forodhani la Zanzibar, wametoa video yao mpya kuchambua falsafa ya 4R ya Rais Samia...
MANGE KIMAMBI AMEPOTEA NJIA
Na Isaya Madego, safarini Marekani. Jana na usiku wa kuamkia leo Mange Kimambi amechapisha maandiko mawili ya kumtukana Rais Samia Suluhu. Wako waliomsifia kwenye sehemu ya maoni ya maandiko hayo wengi wakitumia majina ya kificho lakini wako wengi waliomkemea kwa kukosa staha. Wengine wamekwenda mbali zaidi na kusema huenda Mange amenunuliwa na wabaya wa Rais...
TAKUKURU exposes corruption in government projects.
TAKUKURU, in executing its anti-corruption mandate, monitored public resources in 1800 development projects worth 7.7 trillion to detect indicators of corruption and misappropriation of public resources and ensure adherence to the bill of quantity estimates. Projects monitored included the construction of the Dodoma ring road, development projects implemented through the force account method in Arusha...
Moody’s Report: Tanzania’s sovereign rating surges to B1, signaling stability and growth.
Tanzania’s remarkable economic trajectory has propelled it to the forefront of East Africa’s financial landscape. With Moody’s recent sovereign credit rating upgrade to B1, Tanzania surpasses regional counterparts. This leap places Tanzania ahead of Kenya, Uganda, and Rwanda, signalling a significant milestone in its economic journey. Moody’s decision to elevate Tanzania’s credit rating underscores the...
Zanzibar is poised to commence offshore oil and gas drilling.
The Zanzibar government has completed offshore oil and natural gas exploration and has begun announcing the issuance of licenses and blocks for investors. This announcement was made on March 18, 2024, by the Minister of Blue Economy and Fisheries of Zanzibar, Shaaban Ali Othman, who declared the launch of the first round of the licensing...
Is East Africa ready for federation? Unveiling public sentiment and readiness.
On March 14, 2024, the official website of the State House of the United Republic of Tanzania, through its online platform X, released images depicting President Samia Suluhu Hassan in talks with President William Ruto of Kenya and President Yoweri Museveni of Uganda at the Tunguu State House in Zanzibar. The accompanying captions indicated that...