Fikiria umeshinda nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha siasa chenye umri wa miaka 33. Mwanzilishi wa chama (Edwin Mtei) alikaa madarakani kama Mwenyekiti kwa miaka 6. Akaondoka, akamkabidhiti shemeji yake. Ndio! Mwenyekiti wa pili wa CHADEMA (Bob Nyanga Makani alioa dadake Edwin Mtei). Makani akakalia kiti miaka 6. Kisha akamuachia Freeman Mbowe ambaye kakalia takribani...