Ripoti ya Glass House Brand Trust 2025, imeonyesha kuwa Tanzania imezishinda nchi zote za Afrika Mashariki na kuwa chaguo kuu kwa Wakenya wanaotaka kuhamia nchi jirani. Utafiti huo, uliotathmini kiwango cha imani kati ya watumiaji Wakenya na taasisi mbalimbali, umeonyesha kuwa asilimia 35.25% ya waliichagua Tanzania kuliko mataifa mengine ya Afrika Mashariki, wakitaja utulivu, gharama...
Tag: East Africa
Tanzania Tops List of Preferred Relocation Destinations for Kenyans, New Survey Reveals
According to the latest findings from the Glass House Brand Trust Report 2025, Tanzania has surpassed all its East African counterparts to become the most preferred destination for Kenyans looking to relocate. The survey, which explored the trust dynamics between Kenyan consumers and organizations, revealed that 35.25% of respondents chose Tanzania over other East African...
Dkt Samia: Tumeunda tume kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea katika vurugu za Oktoba 29, mwaka huu ili kujua kiini cha tatizo.Ameeleza taarifa ya tume hiyo, itaiongoza Serikali kujielekeza katika mazungumzo ya kuleta maelewano na amani. Ameambatanisha hilo na kutoa pole kwa familia zilizopoteza ndugu na jamaa walipoteza maisha katika tukio hilo, kadhalika kuwaombea...
By 2050, Tanzania Could Hit U$1 Trillion GDP — If Project Delivery Works.
By 2050, Tanzania is planning on growing its economy to an impressive U$1 trillion, transforming the nation into one of Africa’s most dynamic growth frontiers. But behind every ambitious projection lies a harder truth – sustainable growth demands systems that deliver. It is not simply about money, but about management, discipline, and governance. At the...
Dkt. Samia Suluhu atoa wito wa Amani na Utulivu Mchaguzi Mkuu 2025
Makunduchi, Unguja – Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara na vimejipanga kikamilifu kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 unafanyika kwa amani na utulivu. Akizungumza jana Septemba 17, 2025 katika Kijiji cha Kajengwa, Makunduchi...
Air Tanzania kurejesha safari za Ulaya baada ya kukidhi masharti ya Umoja wa Ulaya
Mashirika ya ndege yaliyoandikishwa nchini Tanzania yanatarajiwa kurejea tena kwenye safari za Ulaya baada ya kukamilisha masharti yaliyowekwa na Umoja wa Ulaya (EU). Hatua hiyo inakuja kufuatia jitihada mbalimbali zilizochukuliwa na mamlaka za usafiri wa anga nchini, kuhakikisha ndege, wataalamu na mifumo ya usimamizi wa anga inakidhi viwango na taratibu za kimataifa vinavyotakiwa na EU....
Tanzania Targets 30% Cut in Cancer Deaths by 2030
Tanzania has set a bold target to reduce cancer deaths by 30% by 2030, as the country grapples with rising cases of non-communicable diseases. Cervical cancer is the leading killer among women, while prostate and oesophageal cancers dominate among men. Health experts cite late diagnosis, limited specialists, and costly treatment as key challenges. But with...
President Samia Honored with Top Global Water Award
President Samia Suluhu Hassan has been awarded the prestigious Presidential Global Water Changemakers Award 2025, presented by the Global Water Partnership in collaboration with the African Union. The award was officially announced on Wednesday, August 13, 2025, by Botswana’s President Duma Boko, who also chairs the award committee. It was received on President Samia’s behalf...
Tanzania’s President to collect nomination forms for 2025 election
Tanzania’s President Dr. Samia Suluhu Hassan, who is seeking re-election under the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM), is expected to collect her presidential nomination forms tomorrow (August 9, 2025) from the Independent National Electoral Commission (INEC) in Dodoma. Her running mate, Dr. Emmanuel Nchimbi, will also collect his forms. The announcement follows INEC’s release...
Tanzania’s banking sector posts sh1.2 trillion profit in H1 2025, up 9%
Tanzania’s commercial banks recorded a combined net profit of Sh1.2 trillion in the first half of 2025, marking a 9% increase from Sh1.09 trillion posted during the same period in 2024, according to an analysis by The Citizen. The strong performance was driven by robust growth in both interest-based and non-interest income, reflecting sustained momentum...









