Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imedhamiria kuchochea ongezeko kubwa la vipaji vya michezo nchini, hususan vya mpira wa miguu. Lengo la Serikali ni kutengeneza vipaji vingi vyenye ubora mkubwa wa kutumika hapa nchini na kwengineko duniani hasa nchi zilizoendelea kisoka barani Afrika na Ulaya. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Hamis...