Zaidi ya wakazi 10, 000 wa Kijiji cha Bugayambelele Kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga, wameondokana na adha ya kukosa huduma ya maji baada ya mradi wa maji ya Ziwa Victoria wa Sh270 bilioni kukamilika. Zaidi ya wakazi 10, 000 wa Kijiji cha Bugayambelele Kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga, wameondokana na adha ya kukosa...