Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi William Shelukindo amesema ziara ya siku tatu ya Rais wa Guinea-Bissau Mh. Umaro Sissoco Embalo inatazamiwa kufungua fursa za kiuchumi kwa watanzania kwa soko la Guinea-Bissau. Rais Embalo anatarajiwa kuwasili nchini kesho tarehe 21, Juni 2024 ambapo atapokelewa na Waziri wa...