Tag: Tanzania

Home » Tanzania
Wanaompatia Maria Sarungi Hela Kuleta Vurugu Wafahamika.
Post

Wanaompatia Maria Sarungi Hela Kuleta Vurugu Wafahamika.

Tanzania imejulikana kama nchi yenye amani tangu ilipopata uhuru, na haijawahi kukumbwa na machafuko makubwa ya kitaifa. Ingawa kumekuwa na matukio madogo ya machafuko, serikali ya Tanzania imekuwa ikidhibiti kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha amani na usalama vinaendelea kudumu kwa wananchi wake. Licha ya juhudi hizi, kuna changamoto zinazoibuka, ambazo hazizungumzwi sana, ikiwa ni...

Clarification on Recent Arrests of Opposition Figures in Tanzania: A Call for Accurate Reporting.
Post

Clarification on Recent Arrests of Opposition Figures in Tanzania: A Call for Accurate Reporting.

Recent events in Mbeya, Tanzania, involving the arrest of BAVICHA (the youth wing of the opposition party CHADEMA) members and others reportedly gathering for what they claimed to be a major International Youth Day demonstration, have sparked confusion among the public. Some international media outlets have reported on these incidents without first seeking clarification from...

Maoni & Uchambuzi: Maegesho ya magari yanavyoweza kuwa na athari kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi ya jiji la Dar es Salaam.
Post

Maoni & Uchambuzi: Maegesho ya magari yanavyoweza kuwa na athari kubwa kwa maendeleo ya kiuchumi ya jiji la Dar es Salaam.

Utangulizi
Jiji la Dar es Salaam ni moja ya miji inayokua kwa kasi barani Afrika. Ukuaji huu unaambatana na ongezeko la idadi ya watu na matumizi ya magari. Changamoto za maegesho zimekuwa sehemu muhimu ya mijadala kuhusu maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa mijini. Utafiti huu utachunguza athari za maegesho katika maendeleo ya kiuchumi ya jiji...

Serikali yawekeza kwenye utafiti wa matumizi ya sarafu za kidigiti.
Post

Serikali yawekeza kwenye utafiti wa matumizi ya sarafu za kidigiti.

Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendeleza hatua ya utafiti wa uanzishwaji wa matumizi ya Sarafu za Kidijitali za Benki Kuu. Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Mh. Faustine Ndungulile, aliyeuliza Serikali ina mpango gani wa kuanza kwa matumizi ya Sarafu za Kidijitali hapa nchini, Naibu Waziri...

Serikali ya Rais Samia Suluhu yazidi kuchochea undelezwaji wa vipaji nchini.
Post

Serikali ya Rais Samia Suluhu yazidi kuchochea undelezwaji wa vipaji nchini.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imedhamiria kuchochea ongezeko kubwa la vipaji vya michezo nchini, hususan vya mpira wa miguu. Lengo la Serikali ni kutengeneza vipaji vingi vyenye ubora mkubwa wa kutumika hapa nchini na kwengineko duniani hasa nchi zilizoendelea kisoka barani Afrika na Ulaya. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Hamis...

Ziara ya Rais wa Guinea-Bissau nchini kunufaisha Tanzania na fursa za uwekezaji.
Post

Ziara ya Rais wa Guinea-Bissau nchini kunufaisha Tanzania na fursa za uwekezaji.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi William Shelukindo amesema ziara ya siku tatu ya Rais wa Guinea-Bissau Mh. Umaro Sissoco Embalo inatazamiwa kufungua fursa za kiuchumi kwa watanzania kwa soko la Guinea-Bissau. Rais Embalo anatarajiwa kuwasili nchini kesho tarehe 21, Juni 2024 ambapo atapokelewa na Waziri wa...

Silinde: Serikali ya Rais Samia Suluhu imedhamiria kumaliza tatizo la sukari nchini.
Post

Silinde: Serikali ya Rais Samia Suluhu imedhamiria kumaliza tatizo la sukari nchini.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea na dhamira yake ya kuhamasisha uwekezaji nchini, kwa kuongeza kasi ya uwekaji mazingira rafiki katika sekta mbalimbali nchini. Kupitia Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Serikali imeanza kutafuta muwekezaji kwa ajili ya kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari wilayani Kilolo, Iringa. Kufuatia maelekezo ya Serikali, Bodi ya...

Mkataka wa Rais Samia Suluhu kuimarisha utalii nchi wajibu.
Post

Mkataka wa Rais Samia Suluhu kuimarisha utalii nchi wajibu.

Licha ya vivutio vingi duniani kukumbwa na uhaba wa wageni, Tanzania imeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la watalii kwenye vivutio vyake mbalimbali nchini. Haya yote yamewezekana kutokana na ubunifu mahiri wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye ametenga muda wake binafsi kwa ajili ya kuvitangaza vivutio vya utalii vya...

Billion 55 Paid in Debts to Civil Servants.
Post

Billion 55 Paid in Debts to Civil Servants.

Deputy Minister of State, Office of the President for Public Service and Good Governance, Hon. Ridhiwani Kikwete, responded on behalf of the government to a question posed by Hon. Issa Jumanne Mtemvu, Member of Parliament for Kibamba. The question sought information on the current amount of government debts related to leave, transfers, and post-retirement cargo...