Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Hassan Mwamweta ameyataka makampuni makubwa ya Utalii nchini Ujerumani kuifanya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama chaguo namba moja barani Afrika kwenye kuwekeza na kupeleka watalii wengi. Balozi Mwamweta ameyasema hayo wakati akifungua Maonyesho Makubwa ya Utalii yanayofahamika kama “ My Tanzania Roadshow 2024” kwenye Jiji la Frankfurt, Ujerumani...
Author: Mkufi Dindai (Mkufi Dindai)
Significant Gains at Dar es Salaam Port Under DP World’s Management
Since the global port operator DP World took over operations at Dar es Salaam Port’s berths 0-7 in April 2024, Tanzania has seen substantial progress in revenue generation, efficiency, and overall port management. Minister of State in the President’s Office for Planning and Investment, Prof. Kitila Mkumbo, recently highlighted these achievements while presenting the 2025/26...
Mawaziri wa Mambo ya Nje wapitisha ajenda za CHOGM.
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wamekutana leo Oktoba 24, 2024 kujadili na kupitisha ajenda Kuu ya Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) ya Ustahimilivu katika kufikia malengo ya pamoja ya kimaendeleo ‘One Resilient Common Future’ pamoja na agenda nyingine zitakazojadiliwa katika vikao vya Wakuu...
Tanzania sees 142 percent surge in investment, attracts $3.9 billion in Q3.
The value of registered investment projects in Tanzania surged by over 142 percent in the third quarter of 2024, reaching $3.9 billion in total capital, according to the Tanzania Investment Centre (TIC). This marks a significant increase from the $1.61 billion registered in the previous quarter, from April to June 2024. TIC Executive Director, Mr...
Tanzania Strengthens Position as Regional Energy Powerhouse with Expanded Natural Gas Exports.
Tanzania is rapidly expanding its natural gas exports to Uganda, Kenya, the Democratic Republic of Congo (DRC), and Zambia through an integrated network of pipelines, LNG terminals, and Mini LNG systems. This strategic growth solidifies Tanzania’s position as a key energy supplier in East and Southern Africa. Under President Samia Suluhu’s leadership, Tanzania is emerging...
Mapinduzi ya Kilimo: Parachichi za Tanzania sasa kuuzwa China kwa mara ya kwanza.
Tanzania imekuwa nchi ya pili katika Afrika Mashariki baada ya Kenya kuruhusiwa kuuza parachichi nchini China. Hatua hii muhimu imekuja baada ya mazungumzo ya pande mbili yaliyodumu kwa miaka sita na kufikia hatua ya kutiwa saini kwa mkataba baina ya serikali za Tanzania na China hivi karibuni. China, ambayo uagizaji wa parachichi umeongezeka kwa asilimia...
What Does President Samia’s China Visit Mean for Tanzania’s Future? Discover the Key Details
President Samia Suluhu Hassan of Tanzania departed for China yesterday and arrived today for her five-day working visit, from September 2 to 6, 2024. The State House shared photos of her arrival this morning. During this visit, she will participate in the Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) Summit in Beijing. While in China, President Samia...
POLISI: “Viongozi wa CHADEMA Wanapanga Vurugu na Kushambulia Vituo vya Polisi”
Jeshi la Polisi limeibua madai mazito dhidi ya viongozi wa CHADEMA, likidai kuwa wamepanga njama za kuvuruga amani nchini kupitia vitendo vya uhalifu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Polisi, viongozi hao walifanya mkutano kwa njia ya mtandao (Zoom) ambapo walikubaliana kuhamasisha wafuasi wao kufanya maandamano ya vurugu na kushambulia ofisi mbalimbali. Taarifa hiyo inaeleza...
President Samia Joins Regional Leaders in Nairobi to Support Raila Odinga’s AU Commission Candidacy.
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan is among the key leaders attending a significant event at State House, Nairobi, where Kenyan President William Ruto officially endorsed former Prime Minister Raila Odinga for the position of African Union Commission (AUC) chairperson. Kenya has positioned Mr. Odinga’s candidacy as representing the collective interests of the East African Community...
President Samia reinstates social services, lifts restrictions imposed in Ngorongoro.
President Samia Suluhu Hassan has ordered the restoration of social services, the holding of local government elections, and the lifting of all restrictions imposed on residents of the Ngorongoro area. This comes in the wake of recent protests by residents, who have been demanding the restoration of their access to social services, mainly education, health,...