Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeunda tume ya kuchunguza yaliyotokea katika vurugu za Oktoba 29, mwaka huu ili kujua kiini cha tatizo.Ameeleza taarifa ya tume hiyo, itaiongoza Serikali kujielekeza katika mazungumzo ya kuleta maelewano na amani. Ameambatanisha hilo na kutoa pole kwa familia zilizopoteza ndugu na jamaa walipoteza maisha katika tukio hilo, kadhalika kuwaombea...
Author: Mkufi Dindai (Mkufi Dindai)
Waliokamatwa kwa kuhamasisha vurugu kusamehewa – Dk Samia
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka kuwafutia makosa vijana wote walioonekana kushiriki maandamano yaliyosababisha vurugu Oktoba 29, mwaka huu, kwa kufuata mkumbo, akisema baadhi yao hawakujua wanachokifanya. Amelifafanua hilo kwa kile alichoeleza, ukiangalia video za maandamano hayo, kulikuwa na vijana walioingia kuandamana kwa kufuata mkumbo na ushabiki, hawakujua wanalolifanya ndio maana ameomba ofisi...
How the International Criminal Court Initiates an Investigation: Procedures, Steps, and Legal Framework
The International Criminal Court (ICC), based in The Hague, was created by the Rome Statute of 1998 to prosecute those responsible for genocide, crimes against humanity, war crimes, and the crime of aggression. It acts only when national courts cannot or will not deliver justice, making it the world’s court of last resort. Every ICC...
Barua ya wazi ya Wafanyabiashara Ndogo na za Kati kwa Rais Samia
President Samia’s Second Term Ushers in New Era of Public Investment Efficiency and Transparency.
The Government of Tanzania, through the Office of the Treasury Registrar (OTR), has unveiled a renewed reform drive aimed at improving the governance, productivity, and accountability of the country’s public investments and state-owned enterprises (SOEs), which collectively hold assets worth over TZS 92.3 trillion. The announcement follows the re-election of President Samia Suluhu Hassan, who...
Dar es Salaam Camera Dealer Loses Sh761 Million in the October 29 Post-Election Violence.
Dar es Salaam. A Dar es Salaam businessman is counting heavy losses after his camera and electronics shop was completely looted and destroyed during the October 29 chaos, losing stock worth over Sh761 million. The director of Zagamba Camera Shop in Magomeni Kagera, who requested anonymity for security reasons, said he received a phone call...
Who is Abdul Halim Hafidh Ameir?
Abdul Halim Hafidh Ameir is a Tanzanian businessman and philanthropist, and son of the President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Mr. Ameir’s business interests span from energy, food processing, agriculture, spare parts and retail. With over 20 years of experience in business enterprise, he is also a Databases Engineer highly skilled in...
Sudan government accuse Kenya of arming rebels
Sudan’s army-backed government has accused Kenya of acting as a conduit for weapons supplied by the United Arab Emirates (UAE) to the paramilitary Rapid Support Forces (RSF), a group locked in a brutal conflict with Sudan’s regular army since April 2023. This accusation, announced on Tuesday, has cast a shadow over relations between Sudan and Kenya,...
MTIHANI WA KUWA MTOTO WA RAIS NA TUHUMA ZA MANGE DHIDI YA ABDUL.
Na Mwalimu Hamza Kejo, Mwanza, Tanzania. Historia huwa inajirudia.. Mnakumbuka enzi Kikwete tulivyoaminishwa kuwa mali zote nchini ni za mwanaye Ridhiwani? Mnakumbuka enzi za Magufuli pale Masaki tulivyoaminishwa nyumba zile mbili kampa mwanaye Jesca? Baadaye huyo huyo Mange akasema Magufuli anaishi na hazina ya nchi chumbani kwake. Kwamba hazina ya nchi nzima ikae ndani ya...
By 2050, Tanzania Could Hit U$1 Trillion GDP — If Project Delivery Works.
By 2050, Tanzania is planning on growing its economy to an impressive U$1 trillion, transforming the nation into one of Africa’s most dynamic growth frontiers. But behind every ambitious projection lies a harder truth – sustainable growth demands systems that deliver. It is not simply about money, but about management, discipline, and governance. At the...









