Tag: Siasa

Home » Siasa
Uchambuzi wa Kitaalam: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga.
Post

Uchambuzi wa Kitaalam: Maandamano yanaibomoa CHADEMA kuliko kuijenga.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala CCM, harakati hizo wanafanya kwa kuuza sera zao kwa Watanzaia kupita...